Shirika la KISWA la shinda tuzo ya huduma bora katika jamii

Baadhi ya wanachama wa KISWA wakiwa na tuzo katika moja ya matukio ya mwaka Source: SBS Swahili
Shirika mpya la Kenyans in Sydney Welfare Association maarufu kwa ufupi kama (KISWA), havi karibuni lili tambuliwa kwa huduma bora katika jamii, katika sherehe iliyo andaliwa na tawi la NSW la shirika la Celebration of African Australians. Idhaa ya Kiswahili ya SBS ilizungumza na baadhi ya wanachama wa KISWA, punde baada ya sherehe hiyo kukamilika.
Share




