Kiongozi wa KISWA Bi Tabitha, alieleza Idhaa ya Kiswahili ya SBS kuhusu lengo lakuandaa kongamano hilo, pamoja nakufunguka kuhusu hatua ambazo uongozi wa KISWA umechukua katika harakati za utetezi kwa niaba ya wanafunzi wakimataifa kwa kero yao yakulazimishwa kufanya mitihani ya IELTS.
KISWA yakabiliana na Idara ya Uhamiaji ya Australia kuhusu mitihani ya IELTS

Tabitha Mwenyekiti wa KISWA Source: SBS Swahili
Viongozi wa shirika linalo wakilisha wakenya wanao ishi Sydney (KISWA), wamefunguka kuhusu kongamano walilo andaa hivi karibuni kwa niaba ya wanachama wao.
Share