Shirika la KISWA lili andaa mkutano mkuu kujadili nakueleza wanachama wake, kile ambacho shirika hilo lilifanya katika mwaka wa 2020.
Moja ya mada nyingine katika mkutano huo, ilikuwa kufanya uchaguzi wa viongozi wa shirika hilo.
Idhaa ya Kiswahili ya SBS, ilizungumza na baadhi ya viongozi walio chaguliwa katika mkutano. Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.
Share






