Chama kinacho wakilisha wafanya biashara na viwanda nchini Kenya (KNCCI), kikiongozwa na Mwenyetiki wacho Bw Kiprono Kittony, kime tumia vikao mbali mbali kuuza ombi lakuwa mwenyeji wa kongamano la WCC la 2021.
Kittony: "Kenya iko tayari kuwa mwenyeji wa WCC2021"
Kiprono Kittony, Mwenyekiti wa baraza la wafanya biashara na viwanda Kenya (KNCCI) katika mkutano wa WCC2017 mjini Sydney, Australia Source: SBS Swahili
Kongamano la vyama vya wafanya biashara (WCC) la 2017 lime anza mjini Sydney, Australia wajumbe kutoka mataifa mbali mbali wameshiriki katika mikutano ambako wame pigia debe baadhi ya miradi wanayo fanya katika nchi zao.
Share




