Jumatatu, mwenyekiti wa umoja wa Afrika, ambaye pia ni rais wa Senegal Macky Sall, aliwasiliana kwa simu nama Rais Paul Kagame wa Rwanda na Felix Tshisekedi wa DRC, katika hatua yakutatua mgogoro kati ya majirani hao wawili.
Safari za ndege za Rwandair kuelekea DR Congo zimesitishwa kwa muda usiojulikana, hatua ambayo imesababisha madhara makubwa kwa abiria na wateja wakumpuni hiyo.