Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Kutambua dalili za ugonjwa wa akili

Msongo wa mawazo unaweza changia ugonjwa wa akili

Msongo wa mawazo unaweza changia ugonjwa wa akili Source: Getty Images

Afya ya akili ni sehemu muhimu ya ustawi wa jumla. Kuna uwezekano mkubwa watu wenye ugonjwa wa akili, wanaweza kupata magonjwa ya mwili.


Published

Updated

By Frank Mtao

Source: SBS



Share this with family and friends


Afya ya akili ni sehemu muhimu ya ustawi wa jumla. Kuna uwezekano mkubwa watu wenye ugonjwa wa akili, wanaweza kupata magonjwa ya mwili.


Nchini Australia, watu wanaweza kupata aina tofauti ya huduma za afya ya akili ila, ni muhimu kutambua dalili za maswala ya afya ya akili nakutafuta msaada.

Gonga kiunganishi hapo juu kusikiliza zaidi.

Wasikilizaji wanaohitaji msaada wa afya ya akili, wanaweza wasiliana na shirika la Lifeline kwenye namba hii

13 11 14

au pigia simu shirika la Beyond Blue kwenye namba hii 1300 224 636.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now