Wa Australia wengi walitazama sherehe hiyo, wakiwa humu nchini na Uingereza, wakati wawakilishi wao wakichukua nafasi zao katika ukumbi wa sherehe hiyo.
Sherehe hiyo imezua mchanganyiko wa maoni, baadhi waki amini muda umewadia kwa Australia kuwa Jamuhuri.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.