Wanachama wa jamii yawanyarwanda wanao ishi mjini Sydney, NSW, Australia, pamoja namarafiki wa jamii hiyo, walihudhuria ibada maalum kuwakumbuka walio uaawa katika mauaji hayo.
Kwibuka25:"Yaliyo fanyika Rwanda yanastahili kuwa funzo kwa dunia nzima"

Wanyarwanda waadhimisha miaka 25 ya mauaji ya kimbari nchini humo Source: AP
Wanyarwanda duniani kote, wanashiriki katika sherehe za maadhimisho ya miaka 25 ya mauaji yakimbari, yaliyo dai zaidi ya maisha yawatu takriban 8000,000 pamoja nakuwatawanya watu wengi zaidi.
Share