Serikali ilipiga kura yaku jilazimisha kujieleza kwa nini ili feli kuziba pengo ambazo makampuni yaki mataifa yanatumia kukwepa kulipa kodi. Hali hiyo ilijiri kupitia kosa la naibu mweka hazina Kelly O'Dwyer.
Hata hivyo mawaziri ndani ya serikali wame jitahidi kupunguza umuhimu wa kosa hilo, kwaku linganisha chama cha Labor na wachekeshaji.
Share
