Ila, pendekezo hilo halita fika popote lisipo ungwa mkono na vyama vingine vikubwa pamoja na sehemu kubwa ya umma ya Australia.
Labor yasukuma mabadiliko kikatiba
Bill Shorten, kiongozi wa chama cha Labor ataka mihula yakudumu bungeni Source: Picha:
Bunge la shirikisho la Australia hivi karibuni huenda likaanza kuwa na vikao vya miaka minne, kwa mujibu wa pendekezo la kiongozi wa upinzani Bill Shorten.
Share




