Kiongozi wa upinzani Bill Shorten amesema pendekezo laku zuia ongezeko la malipo hayo lina onesha chama cha Labor ndicho chama ambacho kina mpango waku kabiliana na shinikizo ya ongezeko ya gharama ya maisha.
Labor ya ahidi kuzuia ongezeko ya gharama ya bima ya afya binafsi kwa 2% iki shinda uchaguzi mkuu

Kiongozi wa upinzani Bill Shorten ndani ya hospitali ya Vermont mjini Melbourne Source: AAP
Chama cha Labor kime ahidi familia zote nchini Australia kuwa, zita okoa mamia ya dola kila mwaka chini ya mpango wayo waku zuia ongezeko la gharama ya bima ya afya binafsi.
Share




