Vyama vya upinzani vinaongeza shinikizo dhidi ya Rais Kabila ajiuzulu, baada ya muda wake rasmi wa uongozi kukamilika.
Serikali ya Rais Kabila imejibu shinikizo hilo kwaku tangaza kuundwa kwa serikali mpya ambayo imejumuisha viongozi kadhaa wa upinzani.
