Bw Lazaro ni mmoja wa maafisa kutoka shirika la Ethnic Communities Council of Queensland, shirika hilo hutoa huduma kwa jamii zenye tamaduni tofauti jimboni Queensland. Alieleza Idhaa ya Kiswahili ya SBS, baadhi ya mbinu shirika lake hutumia kuwahamasisha wanachama wa jamii kufanya vipimo vya afya.
Lazaro "watu wanaogopa kuenda jipimisha magonjwa"

Bw Lazaro afisa wa shirika la ECCQ Source: SBS Swahili
Baadhi ya watu wanao wasili Australia kama wakimbizi, huja wakiwa na magonjwa sugu na wakati mwingine hawajui wana magonjwa hayo.
Share