Baadhi ya mataifa ya magharibi yaliyo shiriki katika mkutano huo, yametangaza mradi muhimu wa msaada kwa wenyeji Papua New Guinea katika mkutano huo.
Ila tangazo hilo limejiri wakati kumekuwa ongezeko la mvutano, kati ya mataifa mawili makubwa wakati nchi nyingi zina fanya mikakati yaku sawazisha uhusiano kati ya mataifa hayo mawili.
Hali hiyo imeacha maswala mengi bila majibu, na wanachama wengi wa APEC wame kwama katikati ya ongezeko la mvutano wa uhusiano kati ya nchi mbili zenye mamlaka zaidi duniani.