Vituo vya sheria vyapata afueni baada yakurejeshewa uwekezaji
Mwana sheria mkuu George Brandis akizungumza na vyombo vya habari Source: Picha: AAP
Vituo vya sheria ndani ya jamii vinavyo toa ushauri waki sheria bila malipo kwa wa Australia wenye uwezo mdogo, vime karibisha uamuzi wa serikali ya Turnbull kubadili uamuzi waku kata uwekezaji kwa huduma zao.
Share




