Baadhi ya wapiga kura hao wali eleza SBS Swahili hisia zao kuhusu kampeni za uchaguzi mkuu, utulivu walio shuhudia wa upigaji kura na kasi ya matangazo ya matokeo ya uchaguzi mkuu masaa machache baada ya vituo vyakupiga kura kufungwa.
Mamlaka husika zakupiga kura na viongozi katika mataifa ya kanda la Afrika ya Kati, walihamasishwa wajifunze na waige kama inawezekana mchakato wa upigaji kura wa Australia, ambako shughuli nzima ya kampeni hadi utangazaji wa matokeo ya kura hufanyika bila vurugu yoyote na watu kuhofia usalama wao.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.