Ila, jinsi idadi hiyo inavyo ongezeka ndivyo pia idadi ya visa vya wanao nyanyaswa wanako fanyia kazi inaongezeka pia. Kwa masikitiko baadhi ya watu hao haswa wanawake, wametendewa ukatili wa kila aina na hata baadhi kuuawa.
Bi Leyla ni mkenya anaye ishi Australia, katika mazungumzo maalum na SBS Swahili aliweka wazi maombi yake kwa serikali mpya ya Dr Ruto, haswa ambako maelfu yawanawake wanao fanya kazi katika nchi za ghuba wanahusika.
Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.