Chama cha Liberals cha ongoza katika kura ya maoni ya uchaguzi wa Tasmania

Will Hodgman, (kulia) akiwa na Malcolm Turnbull  Tasmania

Will Hodgman, (kulia) akiwa na Malcolm Turnbull Tasmania Source: AAP

Chama cha Liberals kina tumai kupata ushindi nakuongoza kwa muhula wa pili katika uchaguzi mkuu wa Tasmania Jumamosi tarehe 3 machi 2018.


Wakati huo huo chama cha Labor kina tumai sera zake kwa mashine za kamare zita vuna matunda miongoni mwa wapiga kura.

Kura mpya ya maoni jimboni humo ambako kuna mfumo usio wakawaida wakupiga kura, imedokeza kuwa chama cha Liberals kita pata ushindi mwembamba, ila kuna uwezekano mkubwa hakuna chama kitakacho kuwa na wingi bungeni.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service