Luundo: "Sehemu za Logan zafanana ziwa Tanganyika"
Picha: Kira Lowe Source: Picha: Kira Lowe
Wakati mji wa Logan unaendelea na shughuli za usafi na ukarabati, baada ya uharibifu mkubwa ulio sababishwa na mafuriko. mwenyeji mmoja ame eleza SBS Swahili kuwa, mafuriko yame acha baadhi ya vitongoji vya Logan viki fanana ziwa Tanganyika.
Share




