Mazungumzo kati ya viongozi wa mataifa ya kanda la Afrika Mashariki, pamoja na ongezeko la vikosi vyakulinda amani vya kanda hilo katika maeneo ya Kaskazini ya Kivu, yame lazimisha kundi la M23 kuomba mazungumzo na serikali ya DRC.
Maeneo ya Kaskazini Kivu, yame kumbwa kwa machafuko na vita kwa miaka mingi mamia yama elfu yawatu waki kimbia makaazi yao kwa sababu ya ukosefu wa usalama.
Bonyeza hapo juu kwa maelezo zaidi kuhusu ombi hilo.
Share






