Maandamano hayo yame jumuisha vurugu, na jeshi la polisi kuwa fyatulia risasi waandamanaji, hatua ambayo ime sababisha ukosoaji mkubwa dhidi ya vitendo hivyo kutoka kote duniani.
Hata hivyo, mamlaka husika wame dai hakuna aliye uawa katika visa hivyo ila, mashirika ya watetezi wa haki za binadam yamepinga kauli hiyo.