George Floyd alifariki baada ya afisa wa jeshi la polisi, kufinya shingo yake akitumia goti lake kwa zaidi ya dakika tisa.
Derek Chauvin ndiye afisa aliye husika katika tendo hilo na kwa sasa, amekamatwa nakufunguliwa mashtaka ya mauaji, yeye pamoja na maafisa wenzake watatu wamefutwa kazi.