Ukuaji wa ndani unatarajiwa kuanguka katika mwaka ujao wa fedha, kwa sababu ya mfumuko wa bei ya juu na ongezeko ya viwango vya riba.
Macho yote yaelekezwa Canberra kwa bajeti ya Shirikisho

Waziri wa Shirikisho wa Fedha Kay Gallagher, akizungumza na vyombo vya habari. Source: AAP
Wakati chama cha Labor kina jiandaa kutangaza bajeti yake ya kwanza baada ya takriban muongo, Mweka Hazina wa shirikisho Jim Chalmers anatoa utabiri mpya wakiuchumi.
Share