Maandamano hayo yali anza baada ya tangazo la mkuu wa jeshi la Sudan Abdel Fattah al-Burhan, ambaye ni kiongozi mwenye mamlaka makuu Sudan, kuivunja serikali ya mpito iliyokuwa na majukumu ya kuongoza taifa hilo katika kurejesha utawala wa kiraia.
Maelfu waandamana dhidi ya mapinduzi yakijeshi Sudan

Mwandamanaji ashika bendera ya Sudan katika maandamano yanayo unga serikali yakiraia mjini Khartoum, Sudan. Source: EPA
Taifa la pembe ya Afrika la Sudan, limekumbwa kwa maandamano dhidi ya mapinduzi yakijeshi ambayo yame waacha watukadhaa majeruhi nawengine wengi kuuawa.
Share