Maelfu watoa heshima zao kwa walio hudumu katika jeshi

Anzac Dawn service

Australians are celebrating the centenary of the Australian and New Zealand Army Corp landing on the shores of Gallipoli on April 25, 1915, during World War 1.

Maelfu ya watu wame jumuika kote nchini Australia na ng’ambo kuadhimisha ANZAC Day.


Siku hiyo ya huzuni huadhimisha kampeni ya Gallipoli, katika nchi ya Turkiye wakati wa Vita vya Pili vya Dunia, na wanajeshi wa Australia na New Zealand ambao walipigana katika migogoro inayofuatana na wanao endelea kuhudumu katika jeshi leo. pamoja

Huduma za ANZAC Day zilianza alfajiri ya Jumanne (25 Aprili 2025) kote nchini, kuwa enzi watu walio hudumu katika migogoro ya kale pamoja na wanao hudumu leo.

Maelfu yawa Australia walijumuika katika ibada za alfajiri katika miji, vitongoji na vijijini katika maadhimisho ya 108 yakutua Gallipoli wakati wa Vita vya kwanza vya Dunia.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service
Maelfu watoa heshima zao kwa walio hudumu katika jeshi | SBS Swahili