Tasmania inatoa mvutio mwingi kwa siku ya uchaguzi mkuu, Jumamosi 21 Mei kwa watazamaji wa uchaguzi.
Maeneo bunge ya kaskazini ya Bass na Braddon, ni maeneo bunge mawili chini ya uongozi wa chama cha Liberal ambayo yako mashakani.
Ila, katika maeneo bunge yote tano ya jimbo hilo, vyama vidogo vinachukua faida ya kutoridhika kwa wapiga kura na vyama viwili vikubwa nchini.
Share






