Magufuli: Wanafunzi wajawazito hawata ruhusiwa darasani
Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli akizungumza na waandishi wa habari katika ikulu Source: SIMON MAINA/AFP/Getty Images
Imekuwa wiki yenye matukio chungunzima katika ukanda wa Mashariki ya Afrika, hata hivyo, tangazo la rais wa Tanzania John Pombe Magufuli akiwapiga marufuku wasichana wajawazito na walio jifungua kurejea shuleni, lili tawala vyombo vya habari. Bonyeza hapo juu kwa makala kamili.
Share




