Katika uamuzi uliosomwa kupitia kanda ya video na majaji watano kwa muda wa masaa takriban manne, majaji hao walisema kwamba jopo la wanachama 14 lililobuniwa kuongoza mchakato huo, lililoongozwa na aliyekuwa Seneta wa Garissa, marehemu Yussufu Haji lilikuwa kinyume na sheria.
Mahakama yapiga BBI nyundo

Raila Odinga na Rais Uhuru Kenyatta wakiwa na ripoti ya BBI Source: PSCU
Mchakato wa BBI umopekea pigo kubwa baada ya majaji nchini Kenya, kusema rais Uhuru Kenyatta alifanya makosa kadhaa ya kikatiba alipo anzisha mchakato huo wa mabadiliko ya kikatiba.
Share