Kwa mujibu wa wizara ya mambo ya ndani ya Marekani, pande hizo kwa mara ya kwanza zimefanya makubaliano na kutia sahihi zao.
Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe amewataka Watanzania kuacha kulalamika ugumu wa maisha na badala yake wachukue hatua kwa kuiondoa CCM madarakani.
Polisi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, wametumia gesi ya kutoa machozi kuwatawanya waandamanaji katika mji mkuu Kinshasa.
Bonyeza hapo juu kwa makala kamili kutoka kwa mwandishi wetu Jason Nyakundi.