Na joto hilo linaweza ongezeka kwa nyuzi joto nne kufikia mwisho wa karne, kulingana na taarifa kutoka osifi yakitaifa ya hali ya hewa.
Onyo hilo limejiri wakati ripoti mpya kutoka kwa watafiti huru, imepata kuwa majira ya joto ya Australia yanaendelea kwa muda mara mbili zaidi sawa na majira ya baridi.