Makumi yamaelfu yawa Australia wameshiriki katika maandamano yakupinga ubaguzi wa rangi wakisema kwa sauti kubwa Black Lives Matter.
Maandamano hayo nisehemu ya ongezeko la wimbi la hasira duniani, kwa kifo cha mwanaume mweusi George Floyd nchini Marekani pamoja na ukatili wa jeshi la polisi.
Waandamanaji wamesema wanatumai kifo cha Bw Floyd, kitasababisha hatua ichukuliwe kumaliza vifo vya waAustralia wakwanza wakiwa gerezani nchini Australia.
Share





