Huzuni, simanzi na majonzi hayo yamesababishwa na mafuriko ambayo yame dai makumi yamaisha yawatu pamoja na mamia ya nyumba kusombwa na mafuriko hayo katika ya wiki iliyopita.
Aila ni mkaazi wa mji wa Uvira, yeye pamoja na familia yake walilazimishwa kuokoa maisha yao usiku wamanane, mafuriko hayo yalipo fika katika eneo wanako ishi ghafla.