Manchester United walikuwa wenyeji wa Tottenham Hotspur FC ambao mwalimu wao Jose Mourinho ni mwalimu wa zamani wa Manchester United.
Katika mechi ya msimu uliopita kati ya timu hizo mbili, wenyeji waliibuka washindi, ila mreno huyo alikuwa na mipango tofauti kwa mechi ya msimu huu.