Mamia ya maelfu ya dola yame chukuliwa kutoka biashara kadhaa katika vitongoji vya magharibi ya Sydney, biashara hizo zilipo gunduliwa hazi walipi wafanya kazi wao ipaswavyo.
Vitongoji hivyo vina idadi kubwa ya wahamiaji, hali ambayo ime zua wasi wasi kuwa wafanyakazi wengi ambao uelewa wao wa Kiingereza ni duni, wana nyanyaswa.
Biashara husika, zime pewa onyo, kuwa huenda zikafunguliwa mashtaka mahakamani iwapo zita endelea kuwanyanyasa wafanyakazi.
Share






