Maafisa nchini Marekani wamesema makombora aina ya Tomahawk takriban 60 yame fyatuliwa kutoka meli zakijeshi ambazo ziko katika bahari la Mediterranea.
Marekani ya shambulia uwanja wa ndege wa jeshi la Syria
Uwanja wa ndege wa Al Shayrat wa jeshi la Syria baada yaku gongwa kwa makombora ya Tomahawk ya Marekani Source: Picha:DigitalGlobe/AP
Marekani imetumia makombora kushambulia kiwanja cha ndege kinacho dhibitiwa na serikali ya Syria, baada ya silaha za kemikali kutumiwa dhidi ya umma. Rais Bashar al Assad, analaumiwa kwaku agiza shambulizi hilo.
Share




