Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili kutoka studio zetu za Nairobi, Kenya.
Marekani yaweka vikwazo dhidi ya wanajeshi na wanamgambo wa DRC na Rwanda

Waziri wa mambo ya kigeni wa Marekani Anthony Blinken, akitoa hotuba. Source: Getty
Wanajeshi na wanamgambo 6 kutoka DR Congo na Rwanda wame wekewa vikwazo na Marekani kwa madai yaku chochea mizozo katika mashariki mwa Congo.
Share