Zaidi ya viongozi 40 wa nchi za Afrika, wali hudhuria kongamano hilo miongoni mwao wakiwa viongozi wa nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika Mashariki.
Kongamano hilo lilifanyika wakati kuna juhudi kutoka mataifa ya magharibi na China, kuwa na ushawishi barani Afrika.
Bw Martin ni mwanasheria, na pia ni mchambuzi wa maswala ya nchini Kenya. Katika mazungumzo maalum na SBS Swahili, alifafanua sababu za Urusi kuandaa kongamano hilo.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.