Idadi yawa meya wa nane wa vitongoji vya maeneo ya Melbourne, wame kuja pamoja kuonesha ushikamano na jamii yawatu wa Sudan Kusini wanao ishi Victoria, baada ya kile wanacho sema ni wimbi la taarifa mbaya toka kwa vyombo vya habari pamoja na mijadala yakisiasa.
Viongozi hao wame sema tisho la vurugu toka kwa wa Australia wenye asili ya Afrika, kwa ujumla ina ongezewa chumv hususan wakati viwango vya vurugu katika jamii hizo vina endelea kupungua.
Ahmed Hassan ndiye mkurugenzi wa shirika la Youth Activating Youth, amesema suluhu litapatikana, kwaku wajumuisha vijana ambao walikuwa wame tengwa, katika elimu na ajira.
Share






