Viongozi wakidini nao hufanya hivyo pia na, hiyo ni sehemu muhimu yakutekeleza wajibu wao kwa waumini na wanao shiriki katika ibada zao.
Mchungaji David kutoka shirika la Sing Hosanna International Ministry, alizungumza na Idhaa ya Kiswahili ya SBS, kuhusu vipaumbele vyake, kama kiongozi wakidini mwaka huu wa 2021, pamoja na jinsi anavyo saidia waumini wakati huu wa janga la COVID-19.