Idara ya polisi imesema ina aamini mwanume huyo alifanya tendo hilo mwenyewe, na hatari iliyo kuwa ime kwisha.
Mamlaka yachunguza viungo vya ugaidi katika shambulizi la Melbourne
Mshukiwa wa shambulizi la Melbourne Yacqub Khayre, akiondoka mahakamani mjini Melbourne, Australia Source: Picha:AAP/Julian Smith
Mamlaka Victoria hawaja unganisha tukio laku tekwa nyara na ugaidi katika kitongoji kimoja cha Melbourne, ambako watu wawili, msahmbuliaji akijumuishwa wali fariki.
Share
