Jamii yawarundi wa NSW waadhimisha krismasi

Beytüllayim'de Noel kutlamaları. Source: AAP
Wanachama wa jamii yawarundi wa NSW, walitathmini yaliyo jiri mwaka huu katika maisha yao binafsi na jamii yao, katika sherehe ya krismasi mjini Sydney, Australia. Bofya hapo juu usikize walivyo eleza Idhaa ya Kiswahili.
Share




