Mfaume alishinda mashindano ya wiki ya vijana kitaifa mwaka huu wa 2017, mashindano hayo yali husu vijnana kuchangia maeleozo kuhusu utambulisho wao wakipekee.
Mfaume:"Usikate tamaa iposiku utaona mazuri"
Mfaume akipiga ngoma ufukweni Source: Picha:SBS/ Emily Franke
SBS Swahili ilizungumza na Mfaume Kakozi, anaye ishi mjini Darwin ambako ni mwanafunzi na msanii chipukizi.
Share




