Kampuni ya Aveo, ime shtumiwa kwaku watumia vibaya wazee kwaku walazimisha kulipa hela ambazo hazi lingani na huduma wanayo pokea.
Hatua hiyo ina fuata uchunguzi ulio fanywa kwa ushirikiano kati ya vyombo vya habari vya Fairfax Media na kipindi cha ABC cha 4 Corners.




