Tume kuu ya Sydney inahamasisha biashara zote namashirika, ya ahidi kukabiliana na unyanyasaji wamitaani pamoja na vurugu dhidi ya wanawake na wasichana.Tume hiyo imesema imeunda hati yakipee ya Australia, yenye lengo lakuzuia unyanyasaji wa jinsia na vurugu.
Mashirika yanayoshiriki katika mradi huo kufikia sasa yanajumuisha mashirika kama; Transport for New South Wales, Merivale Group, Sydney Business Group na Community Housing Industry Association.
Mashirika hayo yote yatatarajiwa kutathmini nakuripoti maendeleo kwa malengo ya hati hiyo.