SBS ilipata fursa ya kufanya mazungumzo naye juu ya asili yake na kutufafanulia lengo lake la kufanya matamasha haya makubwa nchini Australia.
Mkenya ang'ara jukwaani Australia

Source: Black Brass
Atumia nyimbo zenye lugha mbalimbali kukonga nyoyo za mashabiki, huku akiburudisha kwa vichekesho, mafunzo na maonyo juu ya siasa, ubaguzi wa rangi na matatizo yanayowakabili wahamiaji.
Share