Mnangagwa atangazwa mshindi wa uchaguzi mkuu wa Zimbabwe

Rais mteule wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa

Rais mteule wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa Source: AP

Emmerson Mnangagwa amechaguliwa kuwa rais wa pili wa Zimbabwe, kumaanisha chama tawala cha ZANU- PF kita salia madarakani.


Hata hivyo, upinzani ukiongozwa na Nelson Chamisa, anakataa kukubali matokeo hayo.

Kwaku pata asilimia 50.8 ya kura katika uchaguzi huo, Bw Mnangagwa aliponea duru ya pili ya uchaguzi dhidi ya Bw Chamisa.

Kwa upande wake, rais huyo mteule ame andika ujumbe katika mtandao wa twitter kuwa; "ame nyenyekezwa kwaku chaguliwa na ameelezea matokeo hayo kama mwanzo mpya wa Zimbabwe".


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service