Licha ya uwepo wa misaada mingi ambayo familia hizo zinaweza tumia kurahisisha mawasiliano na shule za watoto wao, familia hizo hazi jinsi na wapi zinaweza pata misaada hiyo.
Kama sehemu yakujibu changamoto hiyo, serikali ya Victoria kupitia idara yake ya elimu imewaajiri maafisa ambao wanafanya kazi kama daraja kati ya familia, wanafunzi na shule husika. Mmoja wama afisa hao ni Bw Monga Mukasa ambaye aliweka wazi jinsi anavyo saidia familia, shule na wanafunzi jimboni Victoria.
Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.