Japo tumetoka mbali, vikundi vya watetezi vimeonya kuwa, bado tuna safari ndefu ya kwenda kufikia, kumaliza unyanyapaa haswa katika baadhi ya jamii zetu tofauti.
Wa Australia wengi zaidi, waomba msaada kwa sababu ya afya ya kiakili

Vasan Srinavasan, naibu mwenyekiti wa shirika la afya ya akili ya Australia (Mental Health Foundation Australia) Source: SBS
Waaustralia wengi zaidi kuliko hapo awali, wanatafuta matibabu kwa maswala ya afya ya kiakili.
Share