Wasichana hao walikuwa miongoni mwa wanafunzi wapatao 200, walio tekwa nyara kutoka mji wa Chibok ambao uko katika eneo la Kaskazini mashariki ya Nigeria miaka mitatu iliyo pita.
Zaidi ya wasichana 80 wa Chibok wa achiwa huru katika ubadilishanaji wa wafungwa
Baadhi ya wanafunzi wa zamani wa shule ya chibok, walio achiwa huru na wanamgambo wa Boko Haram Source: Picha: AAP
Wasichana wapatao 82 wa Nigeria walio achiwa huru na wanamgambo wa Boko Haram wame wasili mjini Abuja, ambako wame lakiwa na rais wa taifa hilo.
Share




