Wataalam wengi, walikuwa hawakupa chama cha mseto matumaini yoyote, yakushinda uchaguzi mkuu wa shirikisho dhidi ya chama cha Labor.
Hatahivyo matokeo ya uchaguzi mkuu wa shirikisho wa 2019, yame waacha wengi wakiwa na maswali chungu nzima kuliko majibu
SBS Swahili ilizungumza na baadhi ya wapiga kura, kuhusu matokeo ya uchaguzi washirikisho wakihistoria wa 2019.
Share






